Kasi ya hii ya Raisi wa Awamu ya Tano kuna kila sababu kwa viongozi wetu kujifunza
Ni vyema kila anaepewa mamlaka akajifunza kupitia kwa wengine kwamba kila kitokacho mdomoni kwake kiendane na ukweli wa kile anachokifanya.
Prof Alikuwa na malengo mazuri na taifa hili hata ukimsikilza unaweza kuamini kile anachokisema
wengi wameongea mengi kuhusu uamuzi wa Rais magufuli huku wengi wakidai na watumish wake wa chini ndio sababu lakini hii bado haiwezi kumsafisha maana yeye ndi mmwenye mamlaka ya juu.
Swali ni kwamba viongozi waliopo madarakani wanajifunza nini juu ya haya mambo yanayotokea?
Raisi analengo zuri ingawa ninachokiona anapoza jiwe liloungua mungu kwa muda mrefu kwa kulimwagia maji.
Ndio maana hii inyoonekana sasa ni mpasuko ambao lazima utokee.
Ukweli ni kwamba mpasuko huu utaoana zaidi kwa macho yetu ndani ya miaka miwili ijayo.
Ingwa naamini kweamba hali ikitemgemaa huenda tukafaidi matunda ya Tanzania yetu.
PROF MHONGO FUNDISHO KWA VIONGOZI WENGINE
Title: PROF MHONGO FUNDISHO KWA VIONGOZI WENGINE
Author: Anonymous
Rating 5 of 5 Des:
Author: Anonymous
Rating 5 of 5 Des:
Kasi ya hii ya Raisi wa Awamu ya Tano kuna kila sababu kwa viongozi wetu kujifunza Ni vyema kila anaepewa mamlaka akajifunza kupitia kwa...





Post a Comment