˸

Anonymous Anonymous Author
Title: KENYA KELEKEA UCHAGUZI MKUU NINI TUMEJIFUNZA UCHAGUZI ULIOPITA?
Author: Anonymous
Rating 5 of 5 Des:
UCHAGUZI KENYA                                       March mwaka 2013 mengi yamejitokeza nchini Kenya watu wasiokuwa                  ...
UCHAGUZI KENYA

 
                                    March mwaka 2013 mengi yamejitokeza nchini Kenya watu wasiokuwa
                                       na  hatiawamepoteza maisha huku viongozi wa serikali wakiwa kimnya.
 sasa K enya inalelekea kwwenye uchaguiz mkuu lakini swali linaumizaki kichwa ni moja tu

 Badala ya kusibiria litokee tusuluhishe ni kwanini isiwekwe miakati ya kisheria kwa nchi hizi ili tufikie uchaguzi wa Amani.
 Sheria huwa hazifuatwi kwenye nchi nyinifg Affrica huasusani katika kuachia madaraka
 Witu wangu ni kwamba kwa kuwa viongozi wao ndio chanzo cha vurugu hizi basi tunawaomba viongozi hawa wasifikirie maisha yao na maslahi ya kisiasa na kufikiria maisha ya Wanacnhi wao.
 Tukifanikiwa kuwanya uchaguzi wa uhuru na wa haki ni wazi kwamba ni matarajio ya mamilioni ya wa Africa. Mungu tuongoze.



 Viongozi wa Africa hamjazaliwa na kibali cha kuwa viongozi ni wazi unapaswa kuukuta na kuuacha unapopaswa.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top