˸

Anonymous Anonymous Author
Title: HARMONIZE ASEMA: HARMORAPA BADO SANA KUFIKA LEVEL ZANGU
Author: Anonymous
Rating 5 of 5 Des:
 Msaanii wa Bongo flava anakuja kwa kasi kubwa na kuweza ku treand kwene miandao a kijamii kila kiukicha Harmorapa , amekuwa akilinganisha...

 Msaanii wa Bongo flava anakuja kwa kasi kubwa na kuweza ku treand kwene miandao a kijamii kila kiukicha Harmorapa , amekuwa akilinganisha haa kufikia kuamini kwamba yeye yuko juu zaidi
 ingawa kwa mujibu wa wapenzi wa mziki huuu kwa sasa wanasema kijana anahiaji muda muda kufikia level ya Harmonize.
 Pia wameeleza kuwa msaanii huu amakuwa akishuka thamani kwa kujidhalilisha kwa kutafuta kiki kinguvu ambazo nyingi zimemfanya aonekane msaa mwenye vikuto nchini



 'Mwanzo nilimpokea kama mdogo wangu huku nikifikiria kumsaidia lakini amanipanda kichwani na kuniona mjinga huku akinitusi bila sababu" Alisema Harmonize

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top