Wasaani wa bongo Diamond Platinum na Ney Wamitego wakiwa Mazoezini
Diamond akiwa na Mpenzi wake The boss lady
Msanii Ney wa Mitego
Wasanii hawa wamekuwa wakishindana kuonesha Ukubwa wa vifua vyao pamoja na Umbo la Six Pack kwenye matumbo yao.
Kwa mtazamo wako wako nani anamuonekano mzuri na kifua kikubwa?
Ingwa kwa maoni ya wengi wamekuwa wakimzungumzia Ney kuwa na Muonekano mzuri kuliko Diamond.
DIAMOND NA NEY WAMITEGO WATISHIANA VIFUA
Title: DIAMOND NA NEY WAMITEGO WATISHIANA VIFUA
Author: Anonymous
Rating 5 of 5 Des:
Author: Anonymous
Rating 5 of 5 Des:
Wasaani wa bongo Diamond Platinum na Ney Wamitego wakiwa Mazoezini Diamond akiwa na M...





Post a Comment